Facebook RSS RSS "USIRUDIE TENA KUNIBEBEA MUME WANGU"....HUU NI UJUMBE WA AUNT LULU ALIPOKUWA AKIVUNJA AMRI YA SITA - GUMZO LA JIJI
Headlines :

Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kila siku kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini..!!


"USIRUDIE TENA KUNIBEBEA MUME WANGU"....HUU NI UJUMBE WA AUNT LULU ALIPOKUWA AKIVUNJA AMRI YA SITA

Tuesday, November 20, 2012 | 5:00 AM




Mwanadada Mwenye Skendo Nyingi Magazetini Aunty Lulu Ameweka Picha Akiwa na Mvulana anae dai ni Mpenzi wake na Kuandika Status ya Kupiga Mkwara inayosema "USIRUDIE TENA KUNIBEBEA MUME WANGU"  

Limekuwa  ni  jambo la kawaida  kwa aunt lulu  kubadilisha  wanaume  kama  nguo........

Hivi karibuni alikumbwa  na  kashfa  ya mwaka  baada  ya kutimuliwa alikokuwa  amepanga  kisa  kikiwa  ni kufanya  mapenzi chooni  hali  iliyomfanya  akajihifadhi  GEST HOUSE  kwa muda 
Share this article :

LIKE UKURASA WETU HAPA..!!

HABARI MPYA

 
Support : Talkbongo | Gumzo Admin | Kwa Habari Moto moto!
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. GUMZO LA JIJI - Haki zote zimehifadhiwa
Original Design by GUMZO TEAM
Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter
UA-35914726-1